Mawasiliano yenye akili ya ujumbe
kwa shirika lako.

Telerivet for Business

Wasiliana na wateja wako na wafanyakazi wako kwa urahisi.

Telerivet for NGOs

Ifikie jamii yako popote pale, hata kwenye mazingira yenye changamoto.

Developer Platform

Build powerful mobile messaging services in just a few lines of code.
»

Usimamizi mkuu wa mawasiliano

Rahisisha jinsi unavyohifadhi na kutumia mawasiliano na taarifa kuhusu watu ambao ni wa muhimu kwa taasisi yako.

Jifunze zaidi »

Mawasiliano ya ujumbe wa SMS ya moja kwa moja

Tuma ujumbe wa majibu ya papo hapo kwa meseji zinazoingia kutengeneza mfumo mzuri wa huduma kwa mteja au kitu kingine chochote unachoweza kufikiria.

Jifunze zaidi »

Uchaguzi na utafiti wa papo hapo

Tengeneza na kutuma maswali, halafu kusanya, angalia na kuchambua majibu.

Jifunze zaidi »

Tangaza na upokee ujumbe

Tuma ujumbe kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Watakapokujibu, tutapanga majibu yao.

Jifunze zaidi »
Take the tour
Nafuu na inapatikana kwa urahisi.
Tengeneza huduma yako ya ujumbe wa SMS sehemu yoyote duniani.
Jaribu sasa